Wema Sepetu Afunguka Baada Ya Kudaiwa Ni Mjamzito Wa Week 7.

1533962_244587299048796_625083009_n

Jana zilisambaa habari kuwa Wema Spetu ni mjamzito wa week 7 na hali hiyo ilifahamika wakati akiwa S.Afrika kuhudhuria tuzo za MTV Africa Music Awards 2014. Hata hivyo kupitia Instagram leo star huyo amekanusha habari hizo kwa kusema “jamani hizi habari za mimi kuwa pregnant…… sijui watu wanatolea wapi!…I’m not…..Dah …..I wish I was….but I’m not wapenzi wangu”

unnamed

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :swahiliworld planet

Tupe maoni yako hapo Chini..!!