Wema Sepetu anadaiwa kuwa mjamzito baada ya picha zake mpya kuanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii na blogs huku Wema mwenyewe akiandika maneno hayo hapo chini ambayo yamezidi kuwafanya watu wanaofuatilia maisha ya mastaa wa Bongo kuamini kuwa ni lazima star huyo atakuwa mjamzito baada ya tumbo lake kuanza kukua kwa kasi. Hata hivyo wengi wameanza kujiuliza kama mimba hiyo ni ya Diamond ambaye wamerudia hivi karibuni au lah !. let’s wait n see…………
Habari na picha kwa msaada wa swahiliworldplanetblogsport .
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies