Zblack Braah kutumbuiza stage moja na kingwendu ngwendulile ujerumani december 12

Msanii wa muziki the black anawakaribisha mashabiki wake wote kwa mara ya kwanza ataperform  stage moja na mchekeshaji kutoka tanzania Kingwendu siku ya kusherehekea uhuru wa nchi ya Kenya nchini germany tarehe  12 december  .i kiwa ni mara ya kwanza kwa msaanii huyo mwenye makazi yake holland  kuperform ujerumani  basi amawataka mashabiki wake wasikose angalia hapo chini kuona venue  ya shughuli hiyo

12316434_1520595361597987_639425856847849428_n

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!