Baada ya Diamond kuonyesha Tatoo yake Geofrey McLaughlin naye aonyesha tatoo zake.Angalia hapa

Msanii chipukizi Geofrey McLaughlin  anayefanya vizuri kwa kurap nchini Denmark Geofrey McLaughlin a.k.a  G A Mc  MTOTO WA SINGIDA baada ya kushirikishwa kwenye nyimbo ya Th e black – nilivyokupenda  sasa ameingia studio tayari anapika nyimbo yake mpya itakayokwenda kwa jina la SUMMER LOVE anawataka mashabiki wake wakae mkao wa kula .

DIAMOND

Diamond akionyesha tatoo yake mkononi

Na alipoulizwa kuhusu tatooo zake ambayo moja inafanana na Tatoo ya Diamond  alisema kuwa

Tatoo zangu hazifanani na Daimond hata kidogo japo nae ana tatoo mikononi kama mimi lakini mimi si mikononi tu zipo nyingine sehemu nyingine  jumla nina  tatoo tisa  na hizi sio za urembo maana  zote zina maana zake kwa leo nisingependa kuziongelea niko busy .

1012568_10202797759558782_3088842322734911626_n(2)Geofrey  akionyesha tatoo yake

10247363_10202794305792440_8553632189957351131_n(1)Geofrey akiwa studio kwa ajiri ya nyimbo mpya

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

Big JJ aja upya na filamu kali ya The RED Angalia Dvd kava hapa.

1601757_598664746849095_869868115_oProducer na muigizaji BIG JJ OLENGA

Filamu kali ya THE REDD  inaingia sokoni SOON hakikisha unanunua nakala yako halisi. ni fiamu mpya na yenye ubora wa hali ya juu kutoka kwa yule yule Director Mkali wa Denmark na Scandinavia kwa ujumla  BIG JJ OLENGA na filamu hii imetengenezwa nchini GHANA  akiwa kama producer  ambako ndiko ana kundi jipya la filamu THE REDD ni moto wa kuotea mbali stay tune trailer is coming soon

Producer by BIGJJ FILM PRO the trailer is coming soon, kama utaitaji trailer wasiliana na
Big jj film pro

1458647_641301679252068_1994488094359958621_nFilamu mpya ya The REDD iliyotengenezwa na BIG JJ

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more