Baada ya mda mrefu kupita hatimae Devotha Media imerudi kwa nguvu zote na inakukaribisha kuangalia short film yao mpya ya NESI WA KARANTINI (MCHEPUKO)
karibuni kutazama kazi yetu hii mpya tunawapenda na msiache kukomenti youtube na kutupa ushauri kazi nyingi zinakuja kila wiki asanteni