kama ilivyo wakali wa filamu nchi za scandinavia VAD Film production waja na filamu mpya MWASITU ikiwa si tu na waigizaji nguli kama CLARICE SAFI , SELEMBE TOKO,KAY MSABAHA
Dieu Merci Ngandu, AkonkwaMosiez Balée,Park Min Bernard Kabiona,Ritta Zongwe
bali pia na waigaji wapya kabisa kwenye tasnia angalia chini baadhi ya picha za behind the scene na interview bila kusahau kusubscribe ili movie hio ikitoka uwe wa kwanza kuangalia