Tuna washukuru sana wa shabiki wetu na marafiki mnao usika na kutembelea kazi zetu mbali mbali kwa kupitia mtandao wetu wa kijamii vadfilmproduction
Kwanza tuna wapenda sana, Pili atuweze zarau ujumbe zenu na tatu VAD iko kwa jili yenu.
Kwa kweli tuna mda mrefu atupandishe picha za kazi yetu kama zamani, sababu ni kwamba wanao usika na kazi izo wako busy sana na kazi za TAIFA ya ni tuna maanisha kwamba mujuwe kuwa wakurugenzi wa VAD wana kazi zingine sio tu kazi ya VAD.
Nasio kuwa VAD imepotea kazi zimeendelea kama kawaida ila kupandisha picha FACEBOOK ya VAD nisiku nyingi atuja weka nikwamba mda tunao ni ndogo ila tuta jitaidi kadiri ya uwezo wetu. Ni wengi pia wanasema wametata e-mail za FACEBOOK VAD wana post vipya wakitizama ni habari zawatu wengine kisha inawakera. asante kwa kutujulisha kuusu iyo, tuta jitaidi ili tuwafuraishe mda wote tunao fanya kazi. Alimazia kuandika Presdent wa kundi hilo
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
Tupe maoni yako hapo Chini..!!