Mwandishi wa kitabu cha kanumba Amshirikisha Richard wa Big Brother kwenye filamu yake mpya MCHUMBA SIO ATM MACHINE

MOVIE TITLE   :MCHUMBA SIO ATM MACHINE
DIRECTOR  : RICHARD Bezuidenhout        PRODUCER: Episcopere Emmanuel      STORY WRITTEN BY Episcopere Emmanuel   AND    SCRIPT WRITEN BY  RICHARD Bezuidenhout    LOCATION : CANADA     LANGUAGE: swahili    CASTING :Lilian , Tina , Mzee Capucino, Richard Bezuidenhout ;Episcopere Emmanuel  Na wengineo Mashabiki mkae mkao wa kula coming soon . 
11745376_1078590578837450_534309583749235318_n
Mwandishi wa kitabu cha maisha ya Muigizaji  marehemu Steven Kanumba( A great fallen Tree) , Episcopere Emmanuel mwenye makazi yake nchini Canada ameamua kuingia kwenye uwanja wa fiamu kwa kuja na filamu yake ya kwanza inayouitwa MCHUMBA SIO ATM MACHINE
11223755_1078590698837438_6983054847157797103_n
Richard Bezuidenhout na Episcopere Emmanuel

Ambayo amemshirikisha muigizaji Richard Bezuidenhout  ambaye alikuwa mshindi wa big brother Africa nae alietumbukia kwenye fani ya uigizaji tanzania

filamu hiyo inayochezewa nchini Canada inashutiwa kwa kiwango cha   hali ya juu chini ya kampuni ya mwandishi huyo na muigizaji huyo Episcopere Emmanuel ikiwa na baadhi ya waigizaji kama yeye mwenyewe ,Episcopere,  Lilian ,tina , Richard and mzee capucino…coming soon. zifuatazo ni picha za behind the scene za upigaji picha wa filamu hiyo ili kuendelea kujua  mengi kuhusu filamu hii na lini itatoka endelea kufatilia habari zetu.

 

1947950_1127817210581453_9223214402944608417_n(1)
Episcopere Emmanuel

17 18 1

12034277_1126082110754963_4755646911137004854_o

12036905_1111458925550615_2621160449314926872_n

12038569_1126082070754967_7804087825291114823_o 12038601_1126082140754960_3110200870116558221_o

12185162_1126082004088307_8304616505715025179_o   12186671_1126082037421637_5742826759598981085_o

11705386_1073211199375388_2737688273718650634_o   12186751_1126081937421647_7506014177176681007_o

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

 

Tupe maoni yako hapo Chini..!!