All posts by swahili movies.com

Hatimae vad film production waja na filamu mpya ya mwasitu cheki

Hatimae kampuni ya filamu ya VAD FILM PRODUCTION imekuja na filamu mpya ya MWASITU , PART ONE na PART TWO Ambyo kama kawaida yake imeshirikisha wasanii wake wakongwe kwenye filamu kama SELEMBE TOKO,CLAURIS SAFI,SAFARI LUKEKA, TATU MUSA,KAY MSABAHA,RIZOS BABINGWA , MUFALME JOBAFLO, SIFA OMARI,LULU POWNALL na WENGINE WENGI CHINI YA DIRECTOR MKALI JAY MSABAHA.

Bonyeza link hii kuangalia sehemu ya kwanza na sehemu ya pili ya filamu hii usisahau kusubscribe kwene youtube chaneli yao ya VAD Pia kuwachia komenti kuhusu kazi zao hizi mpya.

Kuangalia picha mbalimbali za behind the scene angalia hapa chini wasanii hao nguli wa filamu ulaya walipokuwa location

G.a.mc wanyatu aachia ngoma mpya aliomshirikisha amber lulu ni motoooo/ akutana na baba diamond

Mwanamuziki na Muigizaji kutoka Denmark Geofrey au GAMC Baada ya kutamba na nyimbo yake ya HADHI YAKO Sasa ameachia club banger ngoma mpya ya AFRICAN GIRL Aliomshirikisha mdada machachari AMBER LULU Bonyeza link hapa chini kusikiliza nyimbo hio bila kusahau kusubscribe kwenye chaneli yake ,

Msanii huyo licha ya kufanya interview mbalimbali na tv station nyingi Tanzania alitangaza pia nia yake ya kumuoa mrembo Official NAI na akaenda mbele zaidi na kusema yuko tayari kabisa kumtorea mahali , bonyeza hapa chini kusikiliza zaidi kuhusu penzi lake hilo na NAI

Lakini hakuishia hapo Msanii huyo machachari GAMC licha ya kuwa ni rafiki wa karibĂș na Diamondplatnumz aliweza pia kumtembelea baba yake na mwanamuziki huyo na kushea nae mawili matatu angalia video hapa chini na tumewawekea vionjo vya nyimbo za msanii huyo machachari anaeishi Denmark usisahau kumfolow instagram na youtube kwa jina hili hili la GAMC WANYATU na kumwachia Comment .

https://www.youtube.com/watch?v=0leCZiasT3s