Baada ya mda mrefu msanii dida kailo mkenya mwenye makazi yake Nchini Ujerumani ametuletea wimbo mpya aliomshirikisha star kutoka kenya
Dogo Richie , Bonyeza hapa chini kuweza kusikiliza wimbo huo, usisahau kusubscribe kwenye chaneli yake
DIDA KAILO X DOGO RICHIE ADEDE (Official Music Video)