kampuni ya filamu ya Cugradde Pro yenye makazi yake mjini Holstebro Denmark waja na filamu mpya ya kiswahili inayoitwa Bad heart kuweza kuiangalia onyeza hapa chini pia waweza kuwapa maoni na ushauri kupitia akaunti yao ya facebook ya jina la Cugradde Pro
https://www.youtube.com/watch?v=vApRqVbmMOw
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
Tupe maoni yako hapo Chini..!!