Geofrey McLaughlin Kupiga show matata kwenye Tanzania independence day Copenhagen

Upcoming Musician Geofrey McLaughlin mwenye makazi yake Denmark , amethibitisha kuwa ataperform mweziujao mjini Copenhagen  kwa maelezo zaidi jinsi ya kufika katika party hiyo  angalia posters hapo chini na burudika kwa kusikiliza  nyimbo zake hapo chini

 

11619_10204282868925588_5249869148420240383_n

Summer love  song below

https://www.youtube.com/watch?v=9UH38JFVf0o

https://www.youtube.com/watch?v=FaLsSDqxB28

wanyatu wanyatu music
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

POSTED BY : Hamm Chande