Nashukuru Mungu nimenusulika kuuawa na vibaka zaidi ya kumi

1005038_1401851853386966_836153964_n

Msanii wa Jumba arts group Basupa Omari anusurika kuuawa jana jumamosi na Zaidi ya  vibaka   kumi ambao walimvaa bila kujua na kumshambulia ,licha ya kumuumiza vibaya pia wamemuibia pesa na simu katika maeneo ya  mwananyamala Koma koma Dar es salaam TANZANIA. 1008217_1417097995195685_550506328_o                                                Basupa Mvungi

1077253_1417099121862239_980949299_oBasupa Mvungi

Baada ya matibabu ya haraka kwa sasa anaendelea vizuri

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook .  swahili movies .com
pia follow us instagram  swahilimovies