HUYU NDIE KIGOGO WA ITPL /ESCROW ANAYETINGISHA NCHI YA TANZANIA;PIA ALIESABABISHA CHAMA CHA KANU KENYA KUANGUKA

huyu ndo boss wa IPTL/ESCROW ambaye anacheza madili na viongozi wa serikali ili kuihujumu nchi yetu pia boss huyu ndiye alisababisha chama cha KANU nchini kenya kuanguka kwenye uchaguzi mkuu baada ya baadhi ya viongozi wa serikali ya KANU kucheza dili na huyu IPTL na kuiingiza mkenge serikali ya kenya.
leo hii amehamia Tanzania anakula dili na vigogo wa serikali kuliangamiza taifa umeme umepanda bei kwa ajili ya nguruwe pori huyu akisaidiana na mamba na viboko walioko serikalini.
1535494_564057277072325_446477924611931205_n
inasikitisha na inauma sana pale ambapo umeme ulikatika kwenye miji yote ya tanzania kwa muda wa siku 2 wakati suala hili linaendelea bungeni,wapiga debe,machinga na maskini wengine walichanga pesa sehemu mbalimbali mbeya mjini na tukuyu wakanunua mafuta na kuweka kwenye jenereta ili wawashe tv waone kiama cha wezi wa pesa za escrow lakini cha kusikitisha ni pale wabunge wa ccm wanapoacha majukumu yao na kuanza kuwatetea wezi wa pesa za escrow bila aibu yoyote hakika inauma sana.yani watu wameingiliwa umeme umekatika wanenunua mafuta ili waangalie bunge wabunge wa ccm wanatetea uovu?
ndugu zangu hakika umefika muda wa kufanya maamuzi magumu .

Mdude Chadema Nyagali's photo.

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :http://www.tanzaniaclassic.com

POSTED BY : Hamm Chande

 

Diamond anyakua tuzo tatu za Channel O Africa Music Video Awards na kuwabwaga davido, Mafikizolo , iyanya

Diamond Platnumz ameng’ara tuzo za Channel O Africa Music Video Awards kwa kunyakuwa tuzo 3 za
Most Gifted Newcomer
Most Gifted Afro-pop
Most Gifted East Africa
Katika kipengele cha Most Gifted Afro-pop alikuwa akichuana na Davido, Mafikizolo, Iyanya na kuibuka kidedea.

Hata kama wewe sio Team Diamond, tafadhali sema Diamond oyee!

10805738_813039235425607_4633273530971251814_n

Diamond new song

https://www.youtube.com/watch?v=13ICjLnDzfg

 

CREDIT :Here

POSTED BY : Hamm Chande

Tupe maoni yako hapo Chini..!!