Mmmh! Hii sasa ni kubwa kuliko! William Mtitu amfungukia haya Flora Mbasha kuhusu mumewe

qw hyguy

Lile sataka la kubaka linalomkabili mume wa mwanamuziki maafuru wa nyimbo za dini – Flora Mbasha limechukua sura mpya baada ya hapo jana mwigizaji na mwongozaji maarufu wa filamu nchini William Mtitu (Pichani) kuamua kufunguka haya juu ya mwanamziki huyu.

Hatutaki kukupotezea muda, jisomee mwenyewe hapo chini kasha “utafakari”.

 

Huku akiwa ameweka picha hiyo hapo juu ya Flora Mbasha na mumewe Mtitu alinzanza kwa kuandika…

 

“Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya frola mbasha kuna kitu nakiona kinejificha lakini sasa hivi kimeshajitokeza tayali…..hicho kitu ndicho kilichompeleka jera mbasha na asipokuwa makini anaweza asiwe uraiani tena kama ulivyowatokea familia ya nguza .namaanisha mzee nguza na papii kocha wako wapi? Kiukweli frola una roho mbaya ya mwisho kabisa ilichanganyika na ukatili wa mwisho kabisa kiasi kwamba nashindwa kuelewa umeokoka nn ww ? Eti umemrudia YESU ?YESU yupi huyu nnaemwabudu mm au una YESU wako ww na HUYO GWAJIMA wako? Leo umemsahau Mbasha ww ? Wakati alikuokata umechakaa wakati mbasha dereva teksi leo wataka kumfunga ili iwe nn sasa mbasha akifungwa utapata faida gani ww? Huyo mtoto akija kukuuliza baba yuko wapi utamwambiaje? Fine unaweza kujikaza ukamwambia yuko jela je akikuuliza nani alimshitaki utajibu nn ? Pia waweza kujikaza ukawataja hao wasichana mliowapandikiza je akiuliza ww ulifanya jitihada gani baba asifungwe utasemaje? Hapo auna jibu Acha roho mbaya NENDA KAMTOE MARA MOJA NA MWENDE NYUMBANI MKAONGEE KAMA FAMILIA TWAJUA UWEZO HUO UNAO ILI NA YEYE ATAFUTE HAMSINI ZAKE KAMA WW ULIVYOAMUA KUJISALIMISHA KWA GWAJIMA. USIJE UKASHANGAA WATU WAKASUSIA KAZI ZAKO ZOTE. GDAY.”

 

Diamond kufanya show ya Nguvu Belgium jumamosii hii

KUTANA NA WAJANJA WOTE WA SCHENGEN KATIKA SHOW HII PEKEE , SIO SHOW YA KUKOSA, kwa mara ya kwanza mwanamuziki DIAMOND kufanya show nchi za shengen hakika ni show ya kwanza na ya nguvu kama ilivyo kawaida yake  na si ya kukosa angalia adress hapo chini .

Diamond Concert Brussels
Sat 21 June 2014
Brussels
5 Facts You Must Know About The Diamond Concert.

DIAMOND

1. Diamond Platnumz Arrives Belgium On Friday.
2. We Are Going To Sell Out.
3. Early Arrival Is Strongly Advised.
4. All Hard Drinks From Hennessy To Red Lebel Will Be Sold For €60.
5. This Will Be The Only Diamond Concert In Europe    Belgium get ready DIAMOND PLATNUMZ is about to fire up the BIRMINGHAM PALACE this Saturday 21 june make sure you tell everybody cause nobody have to miss this…
Huge huge concert..

10477880_302811249886461_3451558862096349150_n10384824_299988946835358_5763828005876062810_n

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :hapa

Tupe maoni yako hapo Chini..!!