V.A.D president afafanua vizuri jinsi ya kununua dvd za filamu zao angalia hapa, jinsi ya kujipatia nakala yako

10736333_10205184243636334_526044403_o

V.A.D  PRESIDENT SAFARI LUKEKA

Ningependa kuwajulisha watu wote wanaotaka dvd ZA FILAMU ZETU   Kuwa sehemu yoyote ulipo basi wasiliana na sisi kwa aanuani hapo chini , najua kuna wengine wanaogopa kwamba mzigo utapotea  au hautafika lakini ningependa kuwajulisha kuwa   .  sisi tunaakikisha kama mtu anataka kazi yetu atapata kwani tumeingia mkataba na watu wa POSTA hivyo mtigo kama haujafika basi wataturudhisia sisi wenyewe kwani tunakuwa tumeilipia insurance hivyo popote ulipo basi utakufikia .

 

10815356_10205216523523311_325922070_o
Hii ni mizigo tayari ya watu wakioagiza na imefungwa vizuri kabisa.


ukiitaji kazi zetu tuandikie ku e-mail: vad.production@hotmail.dk au facebook ya vad filmproduction ao piga simu +4571353932 ao +4571552603. kisha tutapatana bei. tuna uza jumla jumla tu kuanzia DVD 50 nakupanda juu. atuuze reja, reja. wakati mtu anatuma pesa yake kwa konto bank ya V.A.D FILM PRODUCTION 91636277750145 ni vizuri andike jina lake. kisha aandike jine ile pia sehemu anapenda kuwasiliana na sisi“ KishA natuma pesa 1000 SH ku konto.+ adresse yake+ telephone yake poste ya inchi yake itamtafuta.´´ Tukiona moja kwa moja tuna tuma mzigo wake. Kwa sasa tuna tumika kwa pamoja na post ya Danmark muzigo isipo fika kwa muitaji inaturudiria tena.

703118_10205216524083325_432037114_o   10626181_577799515687308_480962045042130179_o

kuandika kuusu kuuzia watu kazi yetu popote walipo. kwa sababu ni wengi wana niandikia kusema awafahamu watapata kazi zetu vip na tunaishi Danmark. wengine wanaoga labda mzigo aita wafikia. ila sisi tunaakikisha kama mtu anataka kazi yetu atapata. ukiitaji kazi zetu tuandikie  

974430_10205184116433154_2082364272_n

e-mail    : vad.production@hotmail.dk     ao facebook ya    vad filmproduction    ao piga simu     +4571353932     ao     +4571552603. kisha tutapatana bei. tuna uza jumla jumla tu kuanzia DVD     50 nakupanda juu.     atuuze reja,    reja. wakati mtu anatuma pesa yake kwa akaunti  bank   ya V.A.D FILM PRODUCTION     91636277750145       ni vizuri   andike jina lake. kisha   aandike jine ile pia sehemu anapenda kuwasiliana na sisi“ KIZA natuma pesa  ku AKAUNTI .+ adresse yake+ telephone yake posta  ya inchi yake itamtafuta.´´ Tukiona moja kwa moja tuna tuma mzigo wake. Kwa sasa tuna tumika kwa pamoja na post ya Danmark muzigo isipo fika kwa muitaji inaturudiria tena.

1597857_266879283470772_2126216971_o

1491271_391473534344679_8095717187080844692_o

 

1402374_391473811011318_1465930694212210474_o

10676127_10205080976574722_537370320939882138_n

10580761_10205080983014883_8309463854084867171_o

1619227_267196633439037_1209850179_n

10477621_10204076934674302_1619088223_n

KUPATA FILAMU YOYOTE YA VAD BASI WASILIANA NAO KWA ADRESS HAPO JUU UWEZE KUJIPATIA NAKALA YAKO

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

POSTED BY : Hamm Chande

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

Labda hautopenda hizi picha za harusi ya Solange zikupite…. kuhusu Jay Z kuhudhuria je?

n-SOLANGE-KNOWLES-large570

Solange Knowles Marries Alan Ferguson - Rehearsal DinnerSiku ya Novemba 16 kwenye millardayo.com kulikuwa na taarifa kuhusu sherehe ya kuagwa kwa Solange Knowles ambapo shemeji yake ambaye ni Jay Z hakuhudhuria sherehe hiyo, leo kuna story kuhusu ndoa yake, unadhani Jay Z hakuhudhuria tena?

Wengi wamekua na shauku ya kujua kama alihudhuria na hii ni kutokana na Jay Z kuonekana akipigwa na Solange kwenye lift miezi kadhaa iliyopita, sasa taarifa ikufikie tu kwamba Jay Z alikuwa mmoja kati ya wageni waalikwa ambao jumla walikuwa mia mbili kwenye hiyo sherehe ya ndoa ya Solange jana Novemba 16 2014 na  Beyonce nae akiwemo.

Huenda ndoa ya Solange na Alan Ferguson iliyofungwa katika kanisa la Holy Trinity, New Orleans imekuwa ya siri kama ilivyokuwa ya Jay Z na Beyonce kwa kuwa mpaka sasa hakuna picha zilizoenea mitandaoni zikionyesha ikifungwa.

Alan ni director wa video za muziki ambapo alishawahi kufanya video za Beyonce na Jay Z kwa nyakati tofauti siku za nyuma.

Tumezoea kuona maharusi wakibebwa kwenye magari ya kifahari kwenye harusi zao ila hii ya Solange ilikuwa tofauti kama unavyoona kwenye picha ambapo ilikua siku ya Jumamosi Novemba 15 wakati wa sherehe ya utangulizi siku moja kabla ya ndoa yao ambapo Jay Z hakuonekana kwenye hii na headlines ndio zikaanzia hapo.

solange-3-435

solange-alan-ferguson-ride-bikes-to-wedding-pcn-1__oPt

 

solange-alan-ferguson-ride-bikes-to-wedding-pcn-8__oPt

solange-3-435

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : http://millardayo.com

Tupe maoni yako hapo Chini..!!