HATIMAE SHILAWADU WAMEAMUA KUMPIGIA ZARI AKIWA SOUTH AFRICA KUJUA UKWELI WA HABARI ZOTE ZINAZOSEMWA INSTAGRAM IKIWEMO KUHUSU NILLAN NA KUFUTA PICHA ZOTE ZA NILAN MSIKILIZE ALICHOJIBU ; USISAHAU KUSUBSCRIBE
Mwanamitindo maarufu WA INSTAGRAM, Hamisa Mobeto, amemshitaki mzazi mwenziye ambaye ni Mbongo Fleva katika Mahakama ya Watoto, Kisutu jijini Dar, akidai kuombwa radhi na matunzo ya mtoto.
Wito huo kwa Mbongo Fleva, umewasilishwa na mawakili wa Mobeto, Abdullah Zulu na Walter Godluck kutoka Kampuni ya Uwakili ya Century Attorneys.
https://www.youtube.com/watch?v=c6wxcDw7lRA&t=1s
Subscribe youtube DEVOTHA MEDIA
To change your privacy setting, e.g. granting or withdrawing consent, click here:
Settings