Mwanamziki anaekuja kwa kasi The black mwenye makazi yake Holland , ameconfirm kwamba ataperform stage moja na mkali Ommy Dimpozi Kutoka Tanzania , na kuwataka mashabiki wake wajitokeze kwa wingi ili kuona atakavyofanya vitu vyake stejini siku hiyo , anauni ya ukumbi pamoja na kiingilio vinaonekana hapo chini .
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!