Vichwa vitatu kutoka T.A.O na NGG kukutana kwenye Filamu Moja Julai in Holland

NETHERLAND
Wasanii ni kioo cha jamii, hayo ndIo maneno utasikia kwa mashabiki wengi wa Tasnia ya filamu ao ya Muziki.

736010_660335117341186_1652594498_o
NGG President Alex Bikolimana

Kundi za filamu zinapoulizwa kuhusu ushirikiano na kundi Zingine, kundi hizo usema kwamba ushirikiano uko sawa na makundi mengine ya Filamu.
Mfano bora ambao aujahishia kwenye facebook unatoka kwenye kundi la T.A.O. Films, maana yake Together as One(Sote kwa Umoja) kutoka Denmark na NGG Production kutoka Uholanzi.

1014670_815020171846738_906321520_o
Director wa T.A.O ALLY DEX LULENDA

Tumepata habari kwamba kundi hizi zinajitayarisha ku shoot movie kwa pamoja kama vile lengo la ushirikiano. Filamu hiyo itausisha makundi yote mawili katika mchezo wa filamu inayohandaliwa. Bado atujajuwa filamu ghani ambayo itachezwa, lakini fununu zimesema kwamba Filamu hiyo itakuja kuchezewa inchini Uholanzi kwenye makao ya kundila NGG Production.

526471_4842720520748_1896358503_n
Frank Salum Kiongozi na Msanii wa T.A.O

Tujikumbushe kwamba kundi la T.A.O. Films linaongozwa na Ally Lulinda Director wa Director na Frank Salumu ambaye aliwahi kuwa President wa kundi la VAD Film Production. Lakini kwa kutokuelewana aliamuwa kuachana na kundi hilo na kujiunga na Ally Lulinda ambaye pia aliwahi kuwa Director na Cameraman wa kundi la VAD Film Production hapo Denmark. KUNDI la NGG Production linaongozwa na Alex Bikorimana.

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Umojaradio.blogspot

Tupe maoni yako hapo Chini..!!