Muigizaji Devotha Alfred akiwa location kwenye moja kati ya movie
ActressDevotha Alfred akiwa kwenye pose
Muigizaji chipukizi wa V.A.D wa film za kiswahili anaekubalika nchi za ulaya na Afrika Devotha Alfred au Mama wa passport love , kama anavyojulikana na wengi, ameonekana akiwa amemshika mtoto wa kizungu kwa upendo na tabasamu kubwa hali iliyowafanya watu waliyoziona picha hizo katika ukurasa wake wa facebook kuisi kuwa muigizaji huyo wa kitanzania mwanafunzi anaeishi germany , kuwa labda anapendelea kuwa na mtoto wa kizungu . Swahili movies ilipopata habari hizo bila kuchelewa ilipitia kurasa wake huo na kuona maswali aliyoulizwa binti huyo na ilipojaribu kumtafuta ili kuweza kujua ukweli hatukuweza kupata mawasiliano yake, ….. tazama picha zifuatazo ila swahili movies itakapompata itakuletea habari kamili…..
Muigizaji Devotha Alfred akiwa amemshika mtoto wa kizungu kwa upendo sana
Muigizaji Devotha Alfred akiwa tabasamu kubwa usoni na mtoto wa kizungu
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies