Mimi naitwa Ildephonce MushilamuTresor. ila wengi wana ni fahamu kwa jina la Safari Lukeka ni mkongo wa drc. ila niliishi mda mwingi Tanzania kama , kigoma , Dar es salaam Msimbazi Ilala, Mabatini Mwanza .
Mr safari na mkewe Claurice Safi ambaye pia ni muigizaji wa V.A.D
Nina familia apa Danmark Mama na wadogo zangu 2 na mtoto wa wakike wa kaka yangu. ila ninaowa pia nina mke mzuri mpenzi waroho yangu. Nilianza kuigiza 2011. kitu kili nusukuma ni sababu mimi ni mpenzi wa film za Kiswahili zaidi zaki Tanzania nilikua mshabiki wa filamu za kiswahili tangu zamani ila mda wote nilikua nikilinganisha movie za nchi nyingine napendelea za kiswahili nazo zibadirike kama za wengine kwasababu zina funza vizuri. Nikaja na movie inaitwa Don´t look down upon the poor part1&2 ya kwanza wakati tulipo kubaliana wote kundi i itwe V.A.D FILM PRODUCTION.
TUMESIKIA WEWE NI DAKTARI NA SASA NI MUIGIZAJI; HIZI KAZI ZOTE NI NGUMU; JE UMEUKACHA UDAKTARI KWA AJIRI YA KUIGIZA:
Hapana sijaacha udaktari sababu ndio kazi yangu pia napenda kuigiza , hivyo nafanya vyote ila kwani mimi ni daktari wa meno na penda kusoma sana kwa ajili ya shule mimi sitaki kucheza sehemu nyingi ila na jaribu kujiiba na kubalance mda nitimize ndoto yangu kusaidia Movie za kiswahili ifikie sehemu ya juu kama movie zingine kwa iyo silale kwa ajili ya kugombanisha shule yangu na kazi ya movie kila kitu kinaomba juudi na nguvu. iyo njoo maisha ya inchi zinazoendelea ni kupiganisha.
MASHABIKI WATEGEMEE NINI MWAKA HUU
Nina sema washabiki wakae mkao wakula na sisi atupende kusema tu bali tuna taka mwaka huu 2014 wajioneo wenyewe…
Mr safari lukeka akiwa na msanii Zawadi justine location
Mr safari akiwa na wasanii wenzake pamoja na Mr nice
Mr safari akiwa kwenye mkutano kuwakilisha VAD
Mr safari akiwa na msanii Eliane location
Kuusu pia kazi zangu mimi pia ni mtumishi wa kanisa natumika kazi ya kumsifu Mungu pia na kupatanisha watu na wengine
Mr safari akiwa kanisani kufanya kazi za kanisa
Mr safari akiwa na familia yake, mama yake , shemeji yake , mke wake, na wadogo zake
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies.