Hapo jana tulipata nafasi ya kumtembelea mwigizaji Rado nyumbani kwake na katika mambo mengi tuliyoongea naye aliweza kutuonesha mkoko wake mpya aina ya Toyota Mark X ambao mwenyewe anasema umemgharimu mamilioni mengi ya kitanzania kuupata baada ya gari yake ya awali aina ya Toyota Alteza kupata ajali na kuamua kuitia kapuni. Tazama picha
Simon Mwapagata au Rado akiwa ndani ya mkoko wake
Simon Mwapagata au Rado akiwa ndani ya mkoko wake
Mkoko wa Simon Mwapagata au Rado kwa nje
habari kwa msaada wa Bongo Movies.com
Usisahau kulike and share pia unatupata facebook . swahili movies .com
pia follow us instagram swahilimovies