Mkali wa BONGOFREVA ULAYA Zblack Braah AJA NA MONIKA

baada ya msanii Zblack Braah kuachia ngoma ilio enda kwajina Fanya kama unainama alio mshirikisha t max Sasa yupo jijini London kwajili ya shooting ya wimbo wake mpya ulio kwenda kwajina la monica!

ZBLACK AMEWAANDIKIA HIVI MASHABIKI WAKE

Hello #East Africa Trailer ya Nyimbo yangu mpya Nilio ipa jina la #Monica# Tiari ipo online, Official Nyimbo nzima ita kuwa hewani Tarehe 1/01/2018 Hivyo basi, muikaee mkao wa kula. Maana Tarehe 1 ndio itakua siku rasmi ya ku iachia ngoma yangu. Na ningeli penda ndugu, jamaa na marafiki muwe tayari kwa kuipokea kazi yangu. Maana nita iweka katika platforms zote kama YouTube SUBSCRIBE KWENYE CHANELI YANGU YOUTUBE KWA JINA LA zblackBraahofficial AU BONYEZA LINK HAPO CHINI , Pia waweza nitafuta Instagram, Facebook, Twitter, na sehem zingine tofauti na msisahau ku subscribe YouTube channel yangu ili uwe wa kwanza kuisikia kazi yangu mpyaa

Kama wa semavyo uhondo wa ngoma ingia kati uicheze na uzinduzi wa #Monica ni maajabu ya ZBLACK #BRAAH
Produced#Sweseka production#Directed#Mdm Youvip

xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx