Ritta Zongwe the hidden Talent from V.A.D Film production

Ni msichana mdogo lakini kwa hakika ana vipaji vingi , ukiacha urembo alionao na uigizaji anaofanya na wengi wanaofahamu ritha au papi  ni fasionist , dancer , Video Queen na vitu vingi  zaidi hivyo swahili Movies kutambua kazi zake anazofanya tuliamua  kumtafuta tujue mengi zaidi kutoka kwake .

10003623_743881052312777_639259087_o

 

 mambo vipi Ritha  tungependa kujua  ulianza lini mambo ya kuigiza na wapi

 Mambo poa sina mda  mda mrefu toka nianze kuaigiza  nilianza hapa Denmark katika kampuni yetu ya V.AD Film production ,   Mpaka sasa nimecheza filamu moja na short film moja ambayo ni Ahadi  na SORRY My Wife  ; Pia nimekuwa kama video Quuen kwenye nyimbo  mpya ya mwanamziki The black wa Holland .
 
1947551_1417004331882205_304037388_n

Papi akiwa na waigizaji wenzake

Mimi naangaliaga sana movies, na ndiomana na Mimi nikavutiwa paka nikaamua kuwa  msanii    na  mipango yangu ni kuendelea zahidi kisanaa. kwasababu apa ni mwanzo tu nina ndoto ndefu sana.

1913261_455781894555738_1920851555_o

 Papi wakati wa shooting ya SORY MY WIFE
 Ushauri wangu kwa wasanii wenzangu   ,Kwanza wapendane na wawe na umoja,  kwasababu sanaa ina inaitaji  usikilizano na umoja.
1243783_651063168261233_554926825_o

 Papi kwenye pozi

Matatizo ambayo nayapata nikwamba, watu wana nisema vibaya,eti nimearibiKa kwasababu  nimekuwa msanii, inaniuma lakini sivunjiki moyo.

Pia wale mashabiki wa filamu zetu za V.A.D wakao mkao wa kula kwani kama mnavyoona filamu nyingi tumetoa mwaka jana na mwaka huu kazi nyingi sana zinakuja na mimi mtaniona nikiwemo ndani hivyo we need your suport mashabiki tunawapenda sana.

Hizi ni kazi alizozifanya papi au ritha

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!