Ni msichana mdogo lakini kwa hakika ana vipaji vingi , ukiacha urembo alionao na uigizaji anaofanya na wengi wanaofahamu ritha au papi ni fasionist , dancer , Video Queen na vitu vingi zaidi hivyo swahili Movies kutambua kazi zake anazofanya tuliamua kumtafuta tujue mengi zaidi kutoka kwake .
mambo vipi Ritha tungependa kujua ulianza lini mambo ya kuigiza na wapi
Papi akiwa na waigizaji wenzake
Mimi naangaliaga sana movies, na ndiomana na Mimi nikavutiwa paka nikaamua kuwa msanii na mipango yangu ni kuendelea zahidi kisanaa. kwasababu apa ni mwanzo tu nina ndoto ndefu sana.
Papi kwenye pozi
Matatizo ambayo nayapata nikwamba, watu wana nisema vibaya,eti nimearibiKa kwasababu nimekuwa msanii, inaniuma lakini sivunjiki moyo.
Pia wale mashabiki wa filamu zetu za V.A.D wakao mkao wa kula kwani kama mnavyoona filamu nyingi tumetoa mwaka jana na mwaka huu kazi nyingi sana zinakuja na mimi mtaniona nikiwemo ndani hivyo we need your suport mashabiki tunawapenda sana.
Hizi ni kazi alizozifanya papi au ritha
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!