Hi kuusu mipango mpya ya v.a.d film production. kutokana na wa pendwa na wa shabiki kupenda kupata kazi za V.A.D FILM PRODUCTION kwa haraka. tuna mpango kutokana na kikao tuliofanya juzi hivyo , sehemu yoyote duniani kukiwa mtu anaye penda kufanya kazi na V.A.D tutatoa vitumbali mbali zenye nembo za V.A.D GROUP na kufungua moja kwa moja mlango wa kazi zetu karibu na wa shabiki wetu kuanzia mwaka kesho .
tutakua na toa picha za vituo vyetu sehemu yeyote DUNIANI na adresse kwa kupata vitu vyetu… pia watu wote wanaotaka kufanya kzi na VAD popote duniani waweze kuwasilina na VAD kw anuani ambazo zipo kwenye Adress za picha hapo juu au hapo chini .Apo kuna picha ya kikao ya viongozi wa V.A.D FILM PRODUCTION, na picha za vitambulisho tutatoa kwa sehemu tutakao fungua kazi zetu. na sehemu izo watu watapata DVD..
bango la Vad likiwa na picha za waigizaji wake
Viongozi na wasanii wa V.a.d wakiwa kwenye kikao
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT : here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!