Wimbo wa king fanatic wachezwa kwa mara ya kwanza kwenye tv ya uholanzi

Muimbaji wa Muziki  wa kizazi kipya Daktari wa mistari ameonekana kuwa na furaha ya kupitiliza baada ya wimbo wake  wa SLOW SLOW BABY na  SITAKI MANENO kuchezwa kwenye television ya uholanzi , ikiwa ni mara ya kwanza kwa wasanii chipukizinchiniuholanzi kufanikiwa kurusha video zao kwenye televison , kwa kuonyesha furaha yake aliandika hivi .

10411758_547396605385906_367053213937798201_n

Thanks so much AFTV  for broadcasting our song on your televison , proud to be african , we believe in strugle.Alimaliza na kwa sasa yuko kwenye kumalizia shooring ya nyimbo yake mpya aliomshirikisha mwanadada kutoka ujerumani tutakuletea habari zaidi pindi single yao hiyo itakapokuwa tayari .

 

10436199_547396578719242_6884294681225680310_n 10557457_547431065382460_4734740109500030966_n 10560346_548329778625922_2569345373832831500_o

bonyeza hapa kuangalia nyimbo hizo zilizorushwa kwenye tv ya uholanzi.

https://www.youtube.com/watch?v=lsNZQ3UQiSA&feature=youtu.be

https://www.youtube.com/watch?v=UgU6CiftPGE&feature=youtu.be

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!

 

Actress Senny chada kuja na Van VICKER .

 

10312537_685121111577007_7752054104118188905_n

Muigizaji  Mrembo mwenye kupenda sana vichekesho na kutabasamu kila wakati baada ya ukimya wa mda mrefu wa kushiriki filamu yake ya  kwanza NIMWAMINI NANI , kutoka ,VAD film PRODUCTION iliyopo Denmark mrembo huyo ameonekana kimya sana na kupelekea utata kutoka kwa mashabiki wake wa filamu na kutaka kujua je atakuja na filamu gani na lini ..

Angalia picha mbalimbali za Seny Chada kwenye pozi

1890636_1404731643138968_773431018489317639_o

ndipo tulipobahatika kuona picha hii akiwa namuigizaji VAN  Vicker na mashabiki wake kutaka kujuakama yupo ghana akifanya filamu na VAN VICKER au vipi lakini tulipojaribu kumtafuta kwenye simu na mitandao ya kijamii kutuambia nini kinaendelea hatukuweza kumpata .tutawaletea undani zaidi baad ya kuongea nae.

10397209_1424648951147237_6115134883544442514_o

1597857_266879283470772_2126216971_o

Seny chada ndani ya NIMUAMINI NANI

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!