Muigizaji Mrembo mwenye kupenda sana vichekesho na kutabasamu kila wakati baada ya ukimya wa mda mrefu wa kushiriki filamu yake ya kwanza NIMWAMINI NANI , kutoka ,VAD film PRODUCTION iliyopo Denmark mrembo huyo ameonekana kimya sana na kupelekea utata kutoka kwa mashabiki wake wa filamu na kutaka kujua je atakuja na filamu gani na lini ..
Angalia picha mbalimbali za Seny Chada kwenye pozi
ndipo tulipobahatika kuona picha hii akiwa namuigizaji VAN Vicker na mashabiki wake kutaka kujuakama yupo ghana akifanya filamu na VAN VICKER au vipi lakini tulipojaribu kumtafuta kwenye simu na mitandao ya kijamii kutuambia nini kinaendelea hatukuweza kumpata .tutawaletea undani zaidi baad ya kuongea nae.
Seny chada ndani ya NIMUAMINI NANI
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here