Siku Chache zilizopita kulikuwa na uzinduzi wa filamu mbili kutoka VAD FILM PRODUCTION ya QUEENUSIJISAHAU na mambo yalikuwa moto kwakweli kwani watu walifurika KUSHUHUDIA FILAMU HIZO ,
PAMOJA NA MASTAA WALIOPAMBA FILAMU HIZO AMBAPO WALIKUWA MASTAA WENGI KAMA LUCY KOMBA , CLAUD 112 na mkewe MINA, CLAURICE SAFI,
SELEMBETOKO ,GMC MNYATU,SENNYCHADA , KING WA COMEDY MWALUBADU , BLACK, BIG JJ na wengine wengi wengi sasa leo tumekuletea picha za red carpet.
xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
kwa wapenzi wa kuangalia maisha ya ughaibuni na mambo mengi tembelea chaneli zetu hapa chini
https://www.youtube.com/watch?v=eNIp3tDBKLg&t=3s