Bonyeza link hii kucheki majibu aliotoa harmonize alipoojiwa na sudybrown
https://www.youtube.com/watch?v=U9rq3rZQZ0o
Bonyeza link hii kucheki majibu aliotoa harmonize alipoojiwa na sudybrown
https://www.youtube.com/watch?v=U9rq3rZQZ0o
VAD Denmark inawaletea movie mpya kabisa MAISHA YA NDOTONI
MAISHA YA NDOTONI utakutana na wasanii wako maarufu kabisa toka DENMARK, GERMANY NA TANZANIA.
Wasani waliomo kutana na DEVOTHA ALFRED, SAFI HAPPY, TATU DANIEL MUSA, JUSTIN ZAWADI, RITTA ZONGWE, SELEMBE TOKO, KAY MUSABAHA, RIZOS BABINGWA, MUYALE KAMITATU OLIVIE, RICHARD Muyale na wasani wengi kutoka TANZANIA…
MAISHA YA NDOTONI ni movie yenye visa tofauti ndani yake utapata matatizo za familia, uchungu ya mzazi kwa familia yake, udanganyifu ya vijana kutaka maisha bora kwa Haraka, mapenzi , furaha na mengi zaidi.