Mwanamuziki wa Bongo Fleva Tanzania – Dudubaya adaiwa kumkata mama yake sikio na kutokomea
– Adai anamroga ndio maana hafanyi vizuri sokoni!
– Ni aliyewahi kuimba “Mwanangu huna nidhamu.. Amefanya unyama huo na kutokomea kusiko julikana, kampiga kisu cha sikio mamake na kuliacha sikio linaning’inia kisa eti anamroga ndio maana nyimbo hazivumi. haya ni machache tuliyoyapata ,tutawaletea habari zaidi tutakapojua kinachoendelea .
source : clouds fm