Siangalii urembo naangalia uwezo by Songa media

Kutana na Songa  Media Group , ni kikundi cha sanaa ambacho kinafanya  shughuli za film za kiswahili na  kiingereza huko  Noxville Tennesee Marekani , ni kikundi kinachokuja kasi nchini marekani na mpaka asasa kimeshafanya film zaidi ya kumi kama , “No way out, Death by love, 30 minute to live . Siri ya mafanikio , Turn up, Salome, na nyingine nyingi nilipata bahati ya kuongea na Director wa kundi hilo Remi J Machali  na alikuwa na haya ya kusema

974255_243753499125989_1492761764_nRemi J Machali Director of Songa Media , Pajero J Machali

Mimi ndie Director wa kundi hili  Pia tuna Pajero J machali ni Manager na Sheba J Machali  ndio President wa kundi hili la Songa Media   lenye wasanii wa kike 20 na wakiume 30 nashukuru Mungu kwa  kulifikisha hapa hili kundi ambalo lilianza mwaka 2012, lakini  nashukuru kwa washabiki wetu wametupokea vizuri filamu zetu za kiswahili na kiingereza marekani na duniani kote na tunawaahidi mashabiki tutafika holywood

MATATIZO GANI YANAYOWAKABILI

Matatizo ni mengi , kwa kweli kuanzia casting, location, location managing, Writing can be little difficult plus working with people with nasty personalities.  but i’m always finish my work

MNA WASANII WAKIKE ZAIDI YA 20 MBONA MNAWATUMIA SANA 2 AU 3

Hatuwezi chukua au kumtumia kila msanii kwenye movie sababu tu  ni mrembo au yuko kwenye kundi  ,bali tunaangalia nani aliye bora  kiwango cha uchezaji , anayemudu kucheza vizuri , sababu mwisho wa siku hii ni kazi  na inatakiwa iuzwe . ndio maana unakuta msanii mmoja au wawili wanacheza kila movie

NYINYI MNA MPANGO WA KUFANYA KAZI NA HOLYWOOD  NA WATU 13 KATI YA 50 MMESOMA FILM SCHOOL  TENA MNAISHI MAREKANI , KITU GANI KINAWAZUIA MSIENDE SASA HOLYWOOD

Ni elimu , ili tuweze kufanya kazi holywood tunaitaji elimu ya kutosha kwani kipaji peke yake hakitoshi , na watu hao 13 wanaosoma film school hawajamaliza hivyo tukienda hatutafanya movie nyingi  wala kupata pesa nzuri.

ASANTE SANA  MNA LOLOTE LA KUAMBIA MASHABIKI WENU

Tunawapenda sana mashabiki wetu tunawatakia heri ya mwaka mpya na wajiandae mwaka mpya umeanza na mambo mapya , wakae mkao wa kula film yetu inakuja soon.

1483863_243754335792572_2038832373_nSiam J. Manuels , Pajero J Machali and Conley Bunch

1390646_378486308948790_542355680_nSonga  media on action

 1269644_366618816802206_976328611_osonga  media on action

1048898_339857219478366_416698686_oSonga  media on action

1499809_243757765792229_1213325466_nBibisha Mtambala

Usisahau kulike and share pia unatupata facebook    swahili movies .com
pia unaweza follow us on instagram. swahilimovies