T.A.O FILMS YA DENMARK YATOA PICHA ZA BEHIND THE SCENE YA FILAMU YAO MPYA THREE DAYS TO DIE

1469755_769787443036678_794698002_nDirector Ally   Dex Lulenda akiwa kwenye pose

The opening of a new company called T.A.O. films ( Together as one V.P) helps and Support you in every step you take . T.A.O films ni company mpya ya film na music which was opened in December 2013 , kampuni hii ilianzishwa na watu wa tatu na kwasasa ina members  zaidi ya 15. Kampuni  ilianza kuonyesha kazi zake kupitia waimbaji wa nyimbo za injili kama vile Sister Tengeneza J.R na  Dorcas Kahind na album ya sister Tengeneza .J.R itakuwa sokoni soon so get ready to grab your copy. Very soon .T.A.O company inaandaa kutoa filamu yao ya kwanza ambayo inaitwa 3 Days To Die(Siku Tatu Kabla Ya Kufa), Ni filamu kali sana na ina mafundisho mengi kwa wakristo na ndoa.  Kaa tayari kununua album na movies za T.A.O films. This company has come with power na moto mwingi sana, T.A.O films believes that coming together as one is a beginning; keeping together as one is progress; working together as one is success. Wandugu, wapendwa nawaombeni tuwe wote pamoja kwa umoja ( TOGTHER AS ONE ) for more information Email us  : t.a.o.videoproduction@hotmail.com”

CHECK BELOW BEHIND THE SCENE PHOTO  OF THREE DAYS TO DIE

 

1781078_243312332523001_1326692171_oFranks Lubeba in Action three days to Die

1912140_243311139189787_925077600_oGloria Masinde akiwa on action

10001018_837320609616694_764890716_oVanessa Kassimu

1658312_242940682560166_1595596318_oVanessa Kassimu na Gloria Masinde, on set

1836720_243312205856347_1143793370_oFrank Kasimu and Gloria Masinde, on action Three days to die

 1537449_243311559189745_376502500_o

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more