Wakali wa filamu za kiswahili NchiniUingereza Morning Star in England Baada ya kimya cha muda mrefu sasa wamekuja upya na filamu mpya ya CARIS Nilipoongea na kiongozi wao alisema sasa kazi imeanza hana mengi ya kuongea ila mashabiki wakae mkao wa kula ,kwani CARIS FILM ni moto wa kuotea mbali ,
hayo ni maneno ya Director basi wewe shabiki wa filamu tazama trailer na utupe maoni yako
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here