Hizi ndio Gospel song kutoka kwa Christine Scherrer Dady Gal

Christine Scherrer Dady Gal  Ni mwanamuziki mpya wa muziki wa Injili anaeishi swizerland lakini asili yake ni Kenya , si tu kuimba bali pia anasambaza Injili ya Yesu Kristo kwa njia mbalimbali , mpaka sasa ameshatoa nyimbo zake Tatu na katika nyimbo izo ansema kuwa mengi aliyoimba yamemtokea katika maisha yake na kuguswa na kuamua kumtumikia Mungu hasa kwa sifa na kwa kutoa ushuuda wake wa maisha yake kwa leo tunakuletea nyimbo hizo zitakazokugusa  na siku zijazo tutakuletea interview ya muimbaji huyu kujua mengi kuusu ushuuda wa maisha yake .

10592636_10201723237843142_7250905563836233322_n   10605999_10201740459193665_6159973825612316109_n

Bonyeaza hapo chini kusikilizanyimbo hizo

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!