Mabibi na mabwana! huu ndio ujio mpya wa Ali Kiba na single zake mbili mpya ziko hapa

Screen-Shot-2014-07-24-at-11.14.07-PM

Najua mashabiki walikua wanaisubiria sana hii post ambapo good news zaidi ni kwamba Ali Kiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja na moja inaitwa “Mwana” na nyingine “Kimasomaso”.

Tunamfahamu staa huyu kama mkali wa hit single kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele lakini unaambiwa Cinderela ndio wimbo mwingine ambao mpaka sasa una rekodi ya kuuza copy nyingi Afrika Mashariki mwaka 2008.

Sehemu ya mafanikio yake mengine ni pamoja na kushinda tuzo mwaka 2012 best Rhumba/ Zouk ya “Dushelele” kwenye tuzo za Kilimanjaro Tanzania Music Awards. (KTMA).

Kuhusu hizi nyimbo mbili mpya, unaweza kuzisikiliza kwa kudownload bure na kwa njia rahisi kupitia hapa kwenye hizi link hapa chini www.mkito.com

Kudownload ni rahisi, ukibonyeza download utaletewa sehemu ndogo ya kuchagua kuingia kwa facebook au google, chagua moja wapo alafu ujichukulie wimbo wako mtu wangu

10363501_10152631771538982_2187215201309398868_n

Tunamfahamu staa huyu kama mkali wa hit single kama Cinderella, Mapenzi yanarun dunia, Single boy, na Dushelele lakini unaambiwa Cinderela ndio wimbo mwingine ambao mpaka sasa una rekodi ya kuuza copy nyingi Afrika Mashariki mwaka 2008.

Najua mashabiki walikua wanaisubiria sana hii post ambapo good news zaidi ni kwamba Ali Kiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja na moja inaitwa “Mwana” na nyingine “Kimasomaso”.

Kuweza kusikiliza ngoma hizo mpya Bonyeza hapa  http://millardayo.com/55007alik/

Ali Kiba atapita hapa kesho July 25 2014 asubuhi mchana na jioni kusoma maoni ya watu wake wanachosema kuhusu hizi nyimbo zake mpya hivyo lolote lako la moyoni liache hapa kwenye comment mtu wangu.

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :http://millardayo.com

Tupe maoni yako hapo Chini..!!