Wema Sepetu Afungukia Ishu ya Umri Wake

Akizungumza na mwandishi wa East Africa Television, Wema Sepetu ambaye hivi karibuni amesherehekea siku ya kuzaliwa na kutimiza miaka 29, amesema kama wao ndio wamemzaa basi umri wanaotaja ndio sahihi.

“Hao wanaosema kama wao ndio wamenizaa sawa, lakini aliyenizaa mama yangu Bi Mariam Sepetu ndio anajua umri wangu sahihi, sasa wao wanalazimisha sijui nimezaliwa lini, hawajanizaa wao, walionizaa ni Mariam Sepetu na Dady Isaac Abraham Sepetu sio wao”, amesema Wema Sepetu.

Baadhi ya watu wamekuwa wakisema Wema Sepetu anadanganya umri wake kwa kujipunguzia aonekane mdogo, lakini wao wanadai kwamba msanii huyo ana umri zaidi ya huo anaoutaja, jambo ambalo Wema Sepetu mwenyewe amelipinga na kusema huo ndiyo umri wake sahihi.

EATV.TV

“””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””””
Karibuni sana wapendwa KILLANDA COMPANY tunauza bidhaa mbalimbali
-Bidhaa zetu zinapatikana supermarkets na Shopping centres D’salaam.

bidhaa zetu ni kama ifuatavyo

Almond
Dry grapes (ZABIBU KAVU)
Pumpkin seeds (MBEGU ZA MABOGA)
Rosella
Dagaa Bukoka
Ubuyu wa Zanzibar.

Kwa kutoa order yako au ukihitaji kuipata bidhaa zetu Jirani na ulipo.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi
Simu no