Rizos Babingwa apewa kikombe cha heshima kwa kuinua filamu za kiswahili scandinavia

Rizos Babingwa ambaye ni meneja pia ni  muigizaji wa kundi la V.A.D nchini Denmark kundi linalofanya vizuri kwenye filamu za kiswahili , amepewa kikombe cha heshima kutoka kampuni  kubwa ya filamu ya Scandinavia inayojulikana kwa Nordisk Film kwa kukfanikisha kukuza filamu za kiswahili nchini scandinavia na ulaya kwa ujumla ,

Meneja huyo anayejitahidi kualika na kukaribisha mastar mbalimbali kufanya nao kazi kama Lucy Komba kutoka Tanzania ambaye walifanya nae Filamu ya Tanzania to Denmark , kama haitoshi meneja huyo alifanikisha kuja kwa mkongwe wa muziki Mr nice na kufanikiwa kufanya nae Film inayoitwa NIMUAMINI NANI na ndipo kuonyesha kukubali na kutambua juhudi zake kampuni ya kidenish imempa kikombe ambacho kina jina lake angalia hapo chini.

 

1176376_577469242309826_1313137987_n Meneja na Muigizaji  Rizos Babingwa

1486153_628764543846962_804958523_o Meneja na Muigizaji  Rizos Babingwaakiwa na Mr nice

481269_506254062764678_662636274_n Meneja na Muigizaji  Rizos Babingwaakiwa naLucy Komba

10157042_683443955045687_1318086125_nKikombe cha heshima alichopewa Rizos Babingwa kuinua filamu za kiswahili  ulaya

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

hii ndiyo nyimbo ya King fanatic & Amisi okey – kuyungulula

KING fanatic  kama anavyojulikana ameachia nyimbo yake mpya inayoongelea mambo mengi na nyimbo inayobamba pande za holland na ulaya kwa ujumla sikiliza nyimbo yake aliyomshirikisha Amey Okey

1011678_465821210210113_432068459_nMusician King Fanatic

ICHEKI HAPA HII NYIMBO NA UTOE MAONI YAKO

https://www.youtube.com/watch?v=6HytFz1lWKw

998792_464760703649497_356806737_nMusician King Fanatic and Amisi okey10001416_482987301826837_513660521_nMusician King Fanatic on pose

1656150_454848944640673_156748356_nMusician King Fanatic and Amisi okey BEHIND the scene

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more