Watu wanaongea mengi hata ambacho mtu hukufanya mi sijali nasonga mbele na kazi yangu by Tatu Daniel

Mfahamu sexiest  actress kutoka VAD ambaye toka alipoanza filamu mwaka 2011 mpaka leo bado amefanikiwa kukaa juu kwenye soko la filamu scandinavia na ulaya kwa ujumla , na kufanikiwa kucheza filamu na short film  mbalimbali kama Jambuka, Don’t look Down Upon the poor. , If Knew, The mistreated Girl , moyo wangu na Jealous Friend   kama haitoshi muigizaji huyo mwenye macho ya kuvutia na anayejiweza kuigiza , alibahatika kucheza filamu na muigizaji Devotha Alfred ambayo ilikuwa ni short film , lakini aliweza kuonyesha uwezo wake mkubwa kwenye filamu aliocheza na Mwanamziki mkongwe  MR NICE na muigizaji machachali SELEMBE TOKO na hapo ndipo alipoweza kuonyesha kuwa si tu urembo wake unaomfanya achukuliwe mara nyingi kwenye filamu bali hata uwezo wake na juhudi zake za kuigiza .

 

Tulipotaka kujua mipango yake ya baadae Tantine alisema ana mipango mingi na kufika mbali ila tuombe majaliwa ya Mungu kwanza mtaona kazi zangu, lakini mrembo huyo hakuishia hapo bali alilalamika kuwa kwenye sanaa ya uigizaji Matatizo yangu ni watu huwa wanaongea mengi hata  chenye mtu hakufanya,Watu wanaongea mengi ila Mi sijali nao,Mi mipango yangu nikusonga mbele .

Pia  Alimaliza kwa kuwashauri  wasichana  wenzie kwa kusema” nitawambia wasichana wenzangu wajipe moyo wala wasijali na maneno yawatu Kuingia mambo ya sanaa ni vigumu sana kama mtu hakujipa moyo hawezi kufika popote pale” .

Angalia picha mbalimbali za behind the scene za muigizaji Tatu Daniel au Tantine

1796885_446840982116496_378290135_oTatu au Tantine, akiwa na selembe toko, richard muyale , na claurice safi movie ya NIMUAMINI NANI

 

1621801_444056495728278_1465424685_nTantine

1921893_444059975727930_1908445082_nSex lady Tantine na selembe Toko

1606336_446832005450727_908909865_o

945672_655994891083794_1047126473_nsex lady Tantine na waigizaji wenzake

903255_785327564826525_1653523287_o

541135_442099552485434_1195854360_n1476833_413349765465618_1658136234_n

Sex lady Tantine MR NICE na claurice safi426416_600996803262374_1414397664_nSex lady Tantine on pose

1403140_728308770531176_42007100_oSex lady Tantine on pose

TUJIKUMBUSHE JE NIVA KUPEWA TUZO YA MSANII CHIPUKIZI NI SAHIHI? CHEKI HAPA

1053293_387896054649117_783788579_oNiva Zuberi akiwa na msanii mwenzake kajala masanja

Hebu jikumbushe wadau , Mwaka jana STEPS ILITOA TUZO ZA WAIGIZAJI BORA TANZANIA ; LAKINI TUZO HIZO NI KWA WASANII WA STEPS TU  ina maana ni kwa  wasanii wanaouza kazi zao step entertainment  na katika Tuzo hizo watu mbalimbali walijinyakulia tuzo mbalimbali kama Tuzo ya Muigizaji Bora wa kike ilienda kwa Irene Uwoya  na Tuzo ya Muigizaji bora wa kiume ikienda kwa  Bonge la Bwana au JB

ANGALIA DEMO YA JUMBA LA DHAHABU HAPA

https://www.youtube.com/watch?v=O61ANRms2wE

tuzo bora ya msanii wa kike Chipukizi ilenda kwa Irene Paul  na KITUKO kilikuja pale Tuzo ya Muigizaji bora chipukizi wa kiume alipopewa NIVA , MMMH hapa ndipo kila mtu alishindwa kuelewa kwani NIVA kila mtu anamfahamu kutokana na kazi zake nzuri na nyingi alizofanya toka mda mrefu na kazi kubwa iliyomtambulisha Niva katika sanaa ni tamthilia ya JUMBA LA DHAHABU  tamthilia ambayo ilijipatia umaarufu mkubwa katika historia ya tamthilia TANZANIA NA AFRICA KWA UJUMLA ikiwa Niva PIA NI MUIGIZAJI ALIYOITENDEA HAKI TAMTHILIA HIYO PAMOJA NA KAZI ZAKE NYINGI sasa swali lilibaki kwa watu je ni sawa kumopa tuzo ya msanii chipukizi NIVA lakini NIVA kutokana na furaha ikawa kama hakuona kitendo cha kuitwa chipukizi je wewe mdau unaonaje kitendo hicho cha msanii mkongwe kupewa tuzo ya uchipukizi TOA MAONI YAKO CHINI

1009347_383790758392980_843103010_otuzo za steps

1009380_383787291726660_170944081_oNiva akiwa na tuzo yake

1015604_383788691726520_196675631_oMzee king Majuto , Niva na Mzee chilo

944518_392918597480196_190745680_nbaadhi ya film alizofanya Niva na riyama Ally

 1922517_484144778357577_1316855128_n Niva na Elizabeth chijumba au Nikita

ANGALIA TUZO ZOTE ZA BONGO MOVIES HAPA CHINI

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more