KING fanatic kama anavyojulikana ameachia nyimbo yake mpya inayoongelea mambo mengi na nyimbo inayobamba pande za holland na ulaya kwa ujumla sikiliza nyimbo yake aliyomshirikisha Amey Okey
ICHEKI HAPA HII NYIMBO NA UTOE MAONI YAKO
https://www.youtube.com/watch?v=6HytFz1lWKw
Musician King Fanatic and Amisi okeyMusician King Fanatic on pose
Musician King Fanatic and Amisi okey BEHIND the scene