“MURMUR” A Short Film brought by BOSTON PACKAGE ..! Ile shortfilm iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu na mashabiki hatimaye sasa imekamilika na kurushwa hewani kwamara ya kwanza , na filamu hii licha ya kuwa imetenenezwa na kuandaliwa na waafrika lakini ni moja kati ya short film zilizokuwa na kiwango cha hali yajuu kuanzia picha , rangi , stori na vitu vingina si nyingine bali ni kutokaSONGA MEDIA GROUP (SMG) chini ya Director Siam J. Manuels
Staring- Pablo Baro & Dogo Kevin
Bonyeza hapakuangalia
https://www.youtube.com/watch?v=lrKTnguvurw&feature=youtu.be
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!