Tazama hapa picha za OMMY Dimpozi na The Black walivyofunika Holland

Hivi ndivyo ilivyokuwa kwenye show ya mkali  Ommy Dimpozi kutoka Tanzania , na The black  anayeishi Holland, kutokana na show kali waliyopiga mshahabiki wameonekena kufurahishwa na show hiyo ya msanii huyo Ommy Dimpozi hasa ukizingatia kuwa kila kitu kilikuwa on time na kudai kuwa siku nyingine atakapokuwa na show Holland lazima wajitokeze kwani hakukuwa na ubabaishaji na waimbaji hao walipanda kwenye steji on time bila kuchelewa kama inavyokuwa kwa wasanii wengine,

Angalia  hapa   picha za  performance here.

1063903_868322933191448_2014395630748988441_o 1618135_868322149858193_5596046951004922278_o 1796030_868323216524753_3306131019315047311_o 10339207_868322323191509_8652155597780228101_o 10542807_868322499858158_954584187056836355_o 10700059_868321686524906_6974407454783506192_o

 

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!