Albamu ya Sifa za Mungu ya Solomon Mukubwa yakamilika angalia hapa jinsi ya kununua.

Solomon Mukubwa  alifanya kazi nyingi kwa mda wake ndogo aliokua Danmark pamoja na kundi mbali mbali. Vyote alivyo vifanya vilikua ni bora. Salomon Mukubwa alipiga CONCERT na mamia ya watu wali tizaka na kukufurai sana.

 

Pia Concert yake ilichukuliwa na kampuni iliyojichukua jina kubwa barani ulaya kwa filamu  zake za kiswahili  ya V.A.D FILM PRODUCTION  akiwa chini ya usimamizi wa Director JAY na mda si murefu muta pata DVD zake. Akuishia kwa CONCERT tu bali alifanyikiwa kutumika pia NYIMBO za DVD yake SIFA ZA MUNGU.

DVD iyo ina nyimbo 7:

  1. –  Sema neno mmoja 
  2. – Nimechoka
  3. – Nimewasamehe
  4. – Habari njema raha yangu
  5. – Umenisukuma sana
  6. – Sijafika
  7. – Sifa za Mungu.
  8. Basi tunamtakia kazi njema nchini Kenya na Africa mashariki. Ukiitaji CD,VCD ao DVD SIFA ZA MUNGU piga simu +254722952711, +254733767972,+254726158434.

Solomon Mukubwa akiwa na President wa VAD film Production10577128_10204553767674829_3725235944978995944_n

IMG_0660

solomon mukubwa akiwa katika ibada

10645178_10204553862717205_7580299860363665149_n

Solomon akiwa Location kwenye shooting ya nyimbo yake nchini Denmark10568963_10204554132843958_7073488758602567461_n

Solomon akiwa na Muigizaji Claurice SAFI  kushoto

10577624_528910733909520_5019065_n

President Safari Lukeka kushoto , Solomon Mukubwa na Director wa VAD JAY

10636672_10204554330688904_1961993259159531772_o

Hii ndio kava ya albamu ya Solomon Mkubwa

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : vad.bloggersdelight.d

Tupe maoni yako hapo Chini..!!