G. A. S Pro waachianyimbo yao mpya Alleluya Amen sikiliza hapa uweze kumwabudu Mungu.

Baada ya kimya cha mda mrefu waimbaji wa Muziki wa injiri kaka Cool Byams na GABY wanaounda kampuni ya G. A. S   Pro wametoa nyimbo mpya ya kumwambudu Mungu  basi bonyeza chini kuweza kusikiliza nyimbo hiyo ya ALLELUYA AMEN na ubarikiwa

gaby969174_602347686452171_487326669_n

10559208_803223016368267_553600005_n

kaka cool byams

Uki penda kwenye sherehe yako ao kwenye ukumbi wowote ule kupata mziki wa gospel niko tayari ni contact mara moja kwenye:
byaunda@gmail.com, 0644258376 of kwenye facebook: https://www.facebook.com/KAKA.COOL.BYAMS

https://www.youtube.com/watch?v=TAqH-aOmGLg&feature=youtu.be

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!