V.A.D Wakuletea kitu kikali Nimwamini NANI DVD Zimeshatoka sasa pata nakala yako

Katika kitendo cha Furaha mara zote unapofanya kazi na kukamilika hakika ni kitendo cha kufara na kutia faraja alionekana President wa VAD FILM PRODUCTION wa denmark akiwa na furaha iliyozidi kikomo na tulipofatilia tuligundua ni kutokana na filamu iliyokuwa ikisuburiwa na msahabiki kwa mda mrefu imetolewa rasmi na sasa tayari kwa mashabiki kujipatia nakala hizo  na alikuwa na haya ya kuwaambia mashabiki .

10736333_10205184243636334_526044403_o
vad film production president safari Lukeka

 

Ninafuraha sana kuwajulisha masghabiki wetu kuwa fialmu yenu ya Nimwamini nani DVD Imeshatoka . Zipo kwa ajili yenu wote ila kupitia wa teja wetu wajumla jumla kampuni ya V.A.D FILM PRODUCTION imezuia DVD NIMWAMINI NANI. Aiuzwe kwa reja reja kama kawaida ya V.A.D FILM PRODUCTION ukiitaji kwa jumla utapata ziko kwa ajili yenu….

10799471_10205184120073245_1991423886_n
Sababu kubwa ni wateja wetu wa JUMLA JUMLA kulalamikia V.A.D FILM PRODUCTION kusumbua soko lao ULAYA Hivyo kwa wale wateja wa reja reja tutawatangazia maduka ambayo mtapata DVD hizi kutoka sehemu mbalimbali .na kwa wale wanunuaji wa jumla jumla basi muda ndio huu DVD zIMESHATOKA WAI TOA ODA YAKO POPOTE ULIPO UTASAMBAZIWA MZIGO  na kwa haraka  utatupata kwa namba za simu hapo chini au kwa facebook account yetu  Vad Production Vad Production .
au simu namba hizi Denmark piga simu +4571353932 AO +4571552603

10534097_577799699020623_3088819409273909589_o 974430_10205184116433154_2082364272_n

Hapo chini ndio DVD hizo kamazinavyoonekana , tayari kwa ajili yenu mashabiki , na kama mnavyoona mastar wenu kama MR NICE , SELEMBE TOKO, TATU DANIEL NA SENNY CHADA Wakiwa wameupamba ukurasa wa mbele .NIMWAMINI NANI si ya kukosa Angalia picha za behind the scene hapa .1503643_413351712132090_1602417330_n

1490573_1399835206927121_1398219138_o

1477003_413346012132660_1627578694_n

1476833_413349765465618_1658136234_n

1782529_446846378782623_345297795_o10626181_577799515687308_480962045042130179_o(1)

Angalia trela hapa ya nimwamini nani

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!