Sikiliza hapa nyimbo mpya ya Gospel Ngangole iliyotengenezwa na T.A.O film production

1459191_589273154460885_2063297964_n
Gospel singer Tengeneza J,R

Kwa mara ya kwanza T.A.O film  Production yenye makazi yake nchini Denmark  imetowa nyimbo ya Gospel iliyotengenezwa chini ya msanii wao Sister Tengeneza J,R nyimbo hiyo yenye lugha mbili ni nyimbo iliyotengenezwa na Kudirectiwa na Director  Ally Dex Lulinda ambaye amepata jina kubwa kutokana na Filamu mbalimbali alizowai kutengeneza akiwa na kampuni yao ya zamani ,

1796784_628718247183042_1033040342_o

Tengeneza J,R akiwa na Mwimbaji mwenzake  Dorcas Muloko

1618183_868928059789282_6813269731453043929_o

Director Ally  Dex Lulenda

Bonyeza  Link kuangalia wimbo huu .

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT : Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!