Raisi na muigizaji wa NGG ya holland ameonekana kuchoshwa na wasichana wanaomsumbua kimapenzi katika mitandao ya kijamii , tulipomuuliza , alisema ni kweli kitendo hiki sasa kimekuwa too much kwani wasichana hawa wanafahamu kuwa mimi sio single nina mke na watoto na nimejitaidi kuwaonya inboy lakini bado ni wasumbufu wassichana hao ambao ambao wapo sehemu mbalimbali ila hapa ulaya ndio wengi zaidi wamezidi kunisumbua sana , mimi nina mke jamani nimechoka ” , kitendo hicho kilionekana kumkela sana President huyo wa NGG na kuaidi endapo wasichana hao wataendelea basi si tu kuwataja bali atatoa na picha zao ili kuwakomesha kwa vitendo vyao visivyo na heshima kwake na kwa ndoa yake
“Hi girls please stop sending me love mesage coz I’m not a single, I have wife and child so I really love and respect my family, the next time I will publishing those mesages and pictures I’m so tired!”
Actor Alex Bikorimana akiwa na mkewe Beth ambaye pia ni muigizaji