Mwanamziki Ma-Jadee mwenye makazi yake Ujerumani , baada ya ya kufanya vizuri nyimbo yake ya The way you Kiss me Remix aliomshirikisha king Fanatic, sasa anakuja na nyimbo yake mpya ya NITASEMA Ambayo ameifanyia nchini kenya na ameshakamilisha nyimbo hiyo kali angalia picha za behind the scene na chini ucheki video yake hiyo mpya ya NITASEMA.
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more
CREDIT :Here
Tupe maoni yako hapo Chini..!!