OFFICIAL music video ya Ma-jadee NITASEMA Angalia hapa mi moto.

Mwanamziki  Ma-Jadee mwenye makazi yake Ujerumani , baada ya ya kufanya vizuri nyimbo yake   ya The way you  Kiss me  Remix aliomshirikisha king Fanatic, sasa anakuja na nyimbo yake mpya ya NITASEMA Ambayo ameifanyia nchini kenya na  ameshakamilisha nyimbo hiyo kali angalia picha za behind the scene na chini ucheki video yake hiyo mpya ya NITASEMA.

1048308_1501550380102468_3322065950865939414_o  10701992_1480141752270360_9165045157593731613_n 1966117_1501550213435818_4388667147448751253_o

Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and  for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more

CREDIT :Here

Tupe maoni yako hapo Chini..!!