Mwanadada machachali Tiba Dinas baada ya kimya cha mda mrefu katika kazi zake za utangazaji sasa amekuja kwa kasi na show yake mpya inayoitwa TIBA SHOW
Mtangazaji TIBA DINAS kwenye pozi mbalimbali
Ambayo anatumia kuwahoji wasanii wa fani mbalimbali , mwanadada huyo mrembo mwenye makazi yake Denmark amewataka mashabiki wake wakae mkao wa kula kwani sasa ni muda wa kazi na tayari ameachia vipindi kadhaa vya mahojiano na baadhi ya wasanii wa FILAMU wa VAD FILM PRODUCTION kuweza kuona angalia show hizo hapo chini
bonyeza hapo chini kuangalia show hizi
Follow us on instagram swahili movies and Like our facebook pages Swahili movies.com and for more updates about Swahili movies latest news, Scandal, Celebrities, features,european news, American,Australian ,Africa news, Music , news and more